Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Nikafanye Nini mirembeUna matatizo ya ubongo, wahi kule Mirembe mapema...
Kauliza swali zuri sanaUna matatizo ya ubongo, wahi kule Mirembe mapema...
Jibu hojaUna matatizo ya ubongo, wahi kule Mirembe mapema...
Hahahahah hapa ndipo kwenye tatizo la msingi la Simba,hamtaki ukweli.Una matatizo ya ubongo, wahi kule Mirembe mapema...
Imagine mashabiki dizain hii ndo wapiga kura kuwaweka viongozi madarakani halafu utegemee timu husika iwe na viongozi makini?Hahahahah hapa ndipo kwenye tatizo la msingi la Simba,hamtaki ukweli.
Mawazo ya kimaskini utayajua tu!! Ni sawa na maneno ya mke wa maskini anayemwonea wivu jirani yake kwa kupelekwa na mumewe outing Dubai mapumzikoni na kudai kuna umuhimu gani wa kwenda kupumzikia Dubai, ni afadhali mume wangu huwa ananitoa kigamboni kwenda kuona daraja na kurudi zetu Tandale!!Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu.
Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
Kwa hiyo uturuki mnaenda outing na si kuiandaa timu ifanye vizuri msimu husika?Mawazo ya kimaskini utayajua tu!! Ni sawa na maneno ya mke wa maskini anayemwonea wivu jirani yake kwa kupelekwa na mumewe outing Dubai mapumzikoni na kudai kuna umuhimu gani wa kwenda kupumzikia Dubai, ni afadhali mume wangu huwa ananitoa kigamboni kwenda kuona daraja na kurudi zetu Tandale!!
Akili yako ndogo Sana. Outing ni jambo lisilohitaji return zaidi ya kuifurahia maisha lakini Kwa upande wa football unaenda kuweka Kambi ili kujiandaa na ushindi wa ligi na makombe mengine. Sasa Simba Huwa wanaenda huko Kwa malengo Gani?Mawazo ya kimaskini utayajua tu!! Ni sawa na maneno ya mke wa maskini anayemwonea wivu jirani yake kwa kupelekwa na mumewe outing Dubai mapumzikoni na kudai kuna umuhimu gani wa kwenda kupumzikia Dubai, ni afadhali mume wangu huwa ananitoa kigamboni kwenda kuona daraja na kurudi zetu Tandale!!
Hivi kwa jibu hili kati yako na mtoa uzi nani anaumwa zaidi ukichaa?Una matatizo ya ubongo, wahi kule Mirembe mapema...
Sio ndogo sema haipo kabisa!Akili yako ndogo Sana. Outing ni jambo lisilohitaji return zaidi ya kuifurahia maisha lakini Kwa upande wa football unaenda kuweka Kambi ili kujiandaa na ushindi wa ligi na makombe mengine. Sasa Simba Huwa wanaenda huko Kwa malengo Gani?
Tena wamepigika kipigo heavyTimu zote zilizoweka kambi nje ya nchi zimepigika kwa uto