Hivi kuna undugu gani uliopo kati LadyJaydee, Stephen Wasira, Wakazimusic na Ester Wasira

Jide ana dadake anaitwa Lilian na mdogo wake Eric kama sikosei,huyu Lilian huyu mhhh
 


Alikuwa anaishi Marekani Kama mwanafunzi na sio raia(Citizen) au mkaazi(permanent resident).Aliingia USA na student visa,ambapo alishamaliza na kurudi Bongo.Sasa hivi kuingia USA inabidi aombe tena visa.Note students visa airuhusu mtu kufanya kazi USA,aliishi Kwa maujanja,hila angekamatwa ingekua soo.

Correction:CHICAGO SIO CHIKAGO✌🏿
 
Waungwana nimeshapata ukweli wa undugu wao kupitia bongo5.com ya 2013
Je wajua kuwa Judith Wambura Mbibo aka Lady Jaydee na rapper Webiro Wasira aka Wakazi ni mtu na binamu yake?
Baada ya kubaini mazungumzo yao kwenye Twitter yalionesha kuwa na uhusiano wa karibu, tumeamua kumuuliza Wakazi, yeye na Jide wakoje!!
“Jaydee ni mtoto wa baba yangu mkubwa. Anaanza baba yake Jide, anafuata baba mkubwa aliyefariki juzi halafu anafuatia baba yangu , mimi na Esther halafu anafuatia Mheshimiwa Steven Wasira,” Wakazi ameiambia Bongo5.


 
pia jamaa anajua mengi kuhusu muziki, ameishawahi kupiga show kwenye stage zenye hadhi ya juu ambazo wasanii kibao wa hip ho hawajawahi. Mwanzo alipata taabu sana ku link kwenye soko la Tanzania ila taratibu naona wasanii wenzake wanaanza kumuelewa lakini pia hata mashabiki wanaanza kuelewa ubora wa huyu jamaa. sasa hivi ana collabo yake na Nikki Mbishi, kiukweli kwa knowledge aliyonayo akiongeza juhudi kidogo anaweza kutoka kiafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…