Hivi kuna undugu kati ya CCM na timu ya Yanga?

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
765
Reaction score
194
Ukifuatilia kwa ukaribu, utaona kuwa kuna mambo mengi yaliyopo Chama cha Mapinduzi (CCM) yanafanana na yale ya Timu ya yanga. Angalia mifano hii ifuatayo:

Jengo la CCM
: Vs Jengo la Yanga

Gari la CCM
Vs Gari la Yanga
Wanachama CCM
Vs Mashabiki Yanga

Sare za viongozi CCM
Vs Jezi za Wachezaji Yanga
Kila kundi kati ya hivyo nilivyo vitaja naona kama vinafanana fanana vile! Je hizi taasisi mbili zina uhusiano? Mwenye kufahamu naomba anisaidie.
 
Fuatilia historia. Timu ya Yanga ilianzishwa na Wazalendo Watanganyika. Simba (Ikijulikana kama Sunderland) ilianzishwa na weupe. Yanga ilikuwa na mchango mkubwa wakati wa kupigania uhuru kwani wazee wetu waliweza kukutana bola shida.
 
well said mkuu!!
 
Kwahiyo mpaka sasa bado ina mlengo wa CCM au?
 
Mleta thread uko vizuri kwa huo ushahidi
ulioleta japo wakija wenyewe watakutukana
lakini ukianzia majengo,rangi n k
Ni wazi wako pamoja hao.
 
Kwa hiyo kuna undugu kati ya TOT na CCM mbona nao wana rangi za CCM
 
Miaka hiyo ya 1935 yanga ilipoanzishwa ililenga kuwakutanisha kirahisi na kupanga mipango yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…