Hivi kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto awe wa kiume au wa kike

Watu wengine watabsha kuwa haiwezekan, lkn hayo ni madhara ya Arts Pure huko Secondary. Mm watoto wangu marufuku kuja ckia habar za Arts Pure, wengi wao masomo ya sayans km Phy, Chem au Agriculture hawakuwah soma kabsa na hata yale waliyobahatka kusoma km Math na Bios hawakuzngatia. Na ndo hao mnaobshana had mnatukanana. Ss mtu kasoma af bailojia ya mwili wake haijui na wala hatak kueleweshwa na wala haoni sababu ya kujua, mtu km huyo co ignorant ila ni mpumbavu. Msomi mzma linaulizwa swali la kisomi anasingizia Mungu! Bac turuhusu watu wakate miti hovyo kwakua Mungu ndo huleta mvua? Kuna Kla sababu ya kuptia upya mitaala ya Elimu. Pia Elimu ni maarifa hvo elimu ya secondar ni basic inabd kujiongeza kuptia internet kujua mambo yanayokuzunguka km afya mf. Kuhusu Moyo, Ini, Figo, Kongosho, Reproductv Systm, Mfumo wa upumuaj na matatizo yanayoweza kuathir hyo mifumo. Co mje hapa na kuanza kubisha ili kuonyesha jns gan hamna k2 kichwani.
 
Inawezekana Kwa 98% kuna miezi mama akibeba mimba ataza male Na miezi akibeba mimba ataza female, ushahidi upo.
 
Inawezekana Kwa 98% kuna miezi mama akibeba mimba ataza male Na miezi akibeba mimba ataza female, ushahidi upo.
Hii una maanisha kalenda ya kichina? Ile nina tatizo nayo, vipi kwa miezi ambayo inasema atapata wa kiume lakini mkakutana na mwenzi wako tarehe za kupata wa kike??
 
ni rahisi kabisa kama kumsukuma mlevi hapo wala si mungu ni mpangilio wako tu

Akiingia ktk hedh yake nione pm nikupe majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…