Hivi kuna wabahiri kama Wakenya kwenye kulipa mishahara?

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Hawa watu wanapenda sana kitonga, yani wanataka ufanye kazi kubwaaaa kwa ujira mdogo.

Sio hivyo tu pia wana tabia ya kufanyisha watu kazi masaa mengi bila kulipa overtime.

Kama unafanya nao kazi hawa raia hakikisha michango yako ya HESLB na makato ya NSSF yanapelekwa sehemu husika kila mwezi, utakuja kunishukuru baadae.

Hivi ukiacha Wahindi, Wachina na Wakenya kuna raia wengine wabahiri kushinda hawa ?
 
Hawakukuandikia barua ukafanye kazi kwao. Hivyo acha kazi uende kunyanyua mabango Kijitonyama
 
Waha ni kiboko aisee anakupa kazi vizuri tu ila malipo anakulipa kindugu
 
Back
Top Bottom