Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Watu wa humu Kama walivo was mitaani Sana yaani matusi wao hawanaga Cha uvumilivu.ila me napenda forum ya quora kule watu wanaheshimiana sana
 
Kwenye dhambi hii ya 700000011 naona unazidi kuongeza idadi zaidi.. bwana na aseme na ndani yako.[emoji23]

Yesu ruwa[emoji22] dhambi zote hizo jamani, hapana me mcha Mungu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…