Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Haya maswali hata Yesu alikumbana nayo. Usiniite mcha MUNGU Wala mwalimu mwema, Ni MUNGU pekee ndio anawajua wanao mwabudu kwa ukweli na anawafahamu walio wema kwa mwanadamu kumtambua mcha MUNGU Ni kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Watakatifu bora ni wale walioko duniani je unaweza kumtambua mcha MUNGU na mtakatifu bora? Jibu unalo mwenyewe.
 
Mkuu hauamini uwepo wa Mungu katika huu ulimwengu[emoji24][emoji24]?

Naona hujanielewa. Nimekuuliza Mungu yupo unayemuongelea au kumuamini- yule uliyeletewa na mizungu/miarabu kwa viboko na mijeredi au Mungu wa kuishi nae ghetto kama wahindu au miungu ya kiafrika kama anayoiabudu Yericko Nyerere au miungu gani? Tuanzie hapo kwanza.
 
Ni MUNGU ambae Musa alihitaji kuonana nae uso kwa uso; tatizo Musa uoga ulichangia na akaamua kujificha ili sionane nae. Nihivyo bro.
 
Habari wakuu!

Baada ya kusoma threads tofautitouti hatimae limenijia hili swali

Hiv jamiiforums kuna wachamungu humu?View attachment 1886529
Wapo isipokuwa hawawezi kujitokeza katika namna unayoidhania wewe kwa sababu ikitokea wakfanya hivyo, lazima watasababisha mashaka mengi zaidi kwa watu. Tuchukulie kwa mfano, unaonaje mtu akija kwako halafu akakuambia kuwa "mimi siyo mwizi" pasipo wewe kuwa umemuuliza swali hilo au kumtilia mashaka yoyote kwamba yeye ni mwizi? Huyu mtu lazima akupe mashaka makubwa kwa sababu utaanza kujiuliza kichwani kwako"kwani mtu kama siyo mwizi huwa ana haja ya kutangaza kuwa yeye siyo mwizi?"
 
Asante kwa maono
 
Mungu unaemuamini wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…