Hivi kuna wachamungu humu JamiiForums?

Humu kuna watu wa kaliba zote, Freemason, wacha Mungu, wapagani, wasioamini chochote n.k tatizo la hapa watu wanaweza kuwa kitu chochote wakati wowote kulingana na matakwa ya wakati huo.
 
Mcha Mungu utamjua kwa matendo yake tu, so kama unawatafuta soma comments utapata watu kadhaa, japo ningumu maana ni jambo la kiroho
 
Humu kuna watu wa kaliba zote, Freemason, wacha Mungu, wapagani, wasioamini chochote n.k tatizo la hapa watu wanaweza kuwa kitu chochote wakati wowote kulingana na matakwa ya wakati huo.
Mkuu kwel hili nakuunga, lkn je ndo inavyotakiwa?
 
Hawatumii majina halisi so unaweza kuta mnachangia mada ya kula tunda kimasihara na mchungaji wako[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
So sad
 
So sad [emoji24][emoji24][emoji24]

Dunia ya leo kumpata mwanaume/mwanamke aliesitilika, mwenye tabia nzuli, mwenye ibada na anahofu na Mungu madra munoo. Wako but wachache na ukimpata umewin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…