Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b, c, d, kikoba.

Kwenye shoo sasa nalewa utafikiri wana jini maimuna ambao wana mabawa ya kipepeo.

Naombeni ushauri nichomoke vipi, maana ni kama nimerogezewa mauno ya diangala na kiloka.
 
Wanawake wote tu wanaomba hela mkuu
 
Hili sio la kuomba ushauri mkuu,
Bado haijafika hapo, ikifika wala hutakuja hapa, Ngoja igonge ter 23...
Ukifikisha Feb basi hilo ndio fungu lako.
 
Wote ni walewale maana wametoka ubavuni mwa mwanaume, wanachozidiana ni viwango na style tuu
 
Hili sio la kuomba ushauri mkuu,
Bado haijafika hapo, ikifika wala hutakuja hapa, Ngoja igonge ter 23...
Ukifikisha Feb basi hilo ndio fungu lako.
yaani shoo ni kali sana ila sasa huo mkomoo wa kuomba pesa, aibu, unaniuliza huyu jini mkausho au jini mlegeza🤣🤣🤣
 
nakazia mluguru ni nambari one,yan nina demu wangu wa kiluguru nampenda ila nitamtosa kwa sababu mzinga,huyo kila siku Leo unampa 20k unajua atatulia wapi kesho huyu hapa yan ni shida
 
Wachaga ndo namba moja utalia mwezi kama huu ...Msela kaombwa pesa ndefu demu aende kwao kusalimia nje ya nauli inafika million na kitu .

Eti lazima apeleke kwao ndo kwanzo ndoa Ina mwaka mmoja.
 
Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b, c, d, kikoba.

Kwenye shoo sasa nalewa utafikiri wana jini maimuna ambao wana mabawa ya kipepeo.

Naombeni ushauri nichomoke vipi, maana ni kama nimerogezewa mauno ya diangala na kiloka.
Kwanza tusimlie 'K' zao ziko je? Zina uspecial au kawaida kama za hao wa kwetu wazaramo
 
Back
Top Bottom