Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wanawake wote tu wanaomba hela mkuuHehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b, c, d, kikoba.
Kwenye shoo sasa nalewa utafikiri wana jini maimuna ambao wana mabawa ya kipepeo.
Naombeni ushauri nichomoke vipi, maana ni kama nimerogezewa mauno ya diangala na kiloka.
yaani shoo ni kali sana ila sasa huo mkomoo wa kuomba pesa, aibu, unaniuliza huyu jini mkausho au jini mlegeza🤣🤣🤣Hili sio la kuomba ushauri mkuu,
Bado haijafika hapo, ikifika wala hutakuja hapa, Ngoja igonge ter 23...
Ukifikisha Feb basi hilo ndio fungu lako.
Mkuu inaogopesha halafu shoo wanajua hatari kama wamefungwa motorWote ni walewale maana wametoka ubavuni mwa mwanaume, wanachozidiana ni viwango na style tuu
Wako kikazi zaidi [emoji23]Mkuu inaogopesha halafu shoo wanajua hatari kama wamefungwa motor
Kwanza tusimlie 'K' zao ziko je? Zina uspecial au kawaida kama za hao wa kwetu wazaramoHehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b, c, d, kikoba.
Kwenye shoo sasa nalewa utafikiri wana jini maimuna ambao wana mabawa ya kipepeo.
Naombeni ushauri nichomoke vipi, maana ni kama nimerogezewa mauno ya diangala na kiloka.