Hivi kuna watoto wa kishua ambao wapo JF?

sijafaham unachomaanisha lakini uelewe kuwa mimi si mtoto wa umri wenu. mtu aliye above 40s si wa kumfananisha na watoto wa humu ndani. sema tu sisi wengine tunapenda kujichanganya na kila umri mimi nimezaliwa early 70s
MIMI BINAFSI SYO MTOTO WA KISHUA, NI MTU MZIMA.
LABDA GuDume NA Sky Eclat
 
sijafaham unachomaanisha lakini uelewe kuwa mimi si mtoto wa umri wenu. mtu aliye above 40s si wa kumfananisha na watoto wa humu ndani. sema tu sisi wengine tunapenda kujichanganya na kila umri mimi nimezaliwa early 70s
kumbee we ni wa kitambo sana
 
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........

hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa ninaposema watoto wa kishuaa nina maana mambo safi
KWANI MAKAMBA, RIZ1,KIMAMBE,LEMUTUZ NK SIO WATOTO WA KISHUA NA WAPO HUMU TUNAPISHANA
 
Huwa najua kapuku humu ni mimi tu! Ila hata wakiwemo hakuna anayenifikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…