Hivi kuna watu hawajawahi kweli kupigwa BAN toka waanze kutumia jf?

Miaka 6 nlkuwa sijapigwa bani. Nimekuja kupigwa ban mbili za mfululizo ndani ya awamu hii ya Magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…