Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hata wenye mioyo ya betri mkuu?Mi sio mtaharm kivile ila idea ninayo kidogo. Kwa wagonjwa waliofanyiwa operashen nakuwekewa viungo vya bandia hasa wanawake wanaowekewa matiti na makalio huwa hwaruhusiwi kupanda ndege hasa zire za masafa marefu.
Hii hutokana na vile viungo vilivyowekwa ambavyo ni bandia vimetwengenezwa kutumika katika standard air density. Sasa zile ndege ziendazo masafa marefu hupita anga za juu sana ambapo air density ni tofaut. Sasa wale wenye viungo bandia huteseka sana.
Mkuu Salary Sleep, mimi ni mmoja wapo, nimefungiwa kifaa kinachoitwa pain implant, kiko kama pace maker za wagonjwa wa moyo, kifaa hicho ni cha chuma, hutumia nguvu ya elecromagnetic kukiendesha, ukipita kwenye mazingira yoyote yenye high electric currency, au au high voltage, umeme mkubwa, unaproduce, electromagnetic waves ambazo zinaweza kuingiliana na hiyo implant, hivyo unashauriwa kuepuka kupanda lift, na badala yake utumie ngazi, ukipita kwenye zile metal detectors zinapiga kelele.Naomba kujua kama kuna watu hushauriwa na madaktari wasipande ndege mara kwa mara au kusafiri na flight za masafa marefu bila kutua na kupumzika kwa muda(non-stop flight).
Kwa yoyote aliepanda ndege bila shaka atakuwa na experience ya usafiri wa ndege hasa wakati wa kupaa na kutua ukiachana na turbulence zinazotokea ikiwa hewani kutegemeana na hali ya hewa au ndege ikipita katika mawingu mazito (Cumulonimbus Cloud).
Nauliza swali hili kwsababu fulani fulani ambazo sio lazima niziweke hapa.
Asante sana mkuu.Naendelea kupata majibu.Mkuu Salary Sleep, mimi ni mmoja wapo, nimefungiwa kifaa kinachoitwa pain implant, kiko kama pace maker za wagonjwa wa moyo, kifaa hicho ni cha chuma, hutumia nguvu ya elecromagnetic kukiendesha, ukipita kwenye mazingira yoyote yenye high electric currency, au au high voltage, umeme mkubwa, unaproduce, electromagnetic waves ambazo zinaweza kuingiliana na hiyo implant, hivyo unashauriwa kuepuka kupanda lift, na badala yake utumie ngazi, ukipita kwenye zile metal detectors zinapiga kelele.
Watu wote wenye metal implants pia wamepewa medical card, ili kuonyesha kwenye security check points. Vifaa hivi havina tatizo lolote kusafiri navyo kwenye ndege, ila tahadhari ni kwa ndege za safari za masafa marefu, likitokea tatizo angani mwanzo wa safari, hakuna medical attention kwenye ndege ku reset hiyo pacemaker, hivyo kama tahadhari tuu kama za mwanamke mja mzito, usisafiri safari za masafa marefu sana!.
Na sio tuu safari za masafa marefu, hata raundi, unashauriwa usiende raundi nyingi!.
Zaidi ya hapo hakuna tatizo lolote!.
Pasco
Asante sana kamanda.
Ugonjwa mwingine ni Neema [emoji12][emoji12]Nawakumbuka viongozi wakuu wa Korea Kaskazini comrade Kim Il Sung na mwanae Kim Il Jong walikuwa wameshauriwa kwa sababu za kiafya pamoja na acrophobia wasipande ndege. Na vilevile kuna watu ambao kutokana na hali zao za afya (binge flying) wanatakiwa kupanda ndege mara kwa mara ili kuboresha afya zao.
Mama Mdogo, eti kuboresha afya kwa kupanda ndege mara kwa mara? Sijakuelewa. Naomba ufafanuzi zaidi tafadhali.Nawakumbuka viongozi wakuu wa Korea Kaskazini comrade Kim Il Sung na mwanae Kim Il Jong walikuwa wameshauriwa kwa sababu za kiafya pamoja na acrophobia wasipande ndege. Na vilevile kuna watu ambao kutokana na hali zao za afya (binge flying) wanatakiwa kupanda ndege mara kwa mara ili kuboresha afya zao.
Mkuu Salary Sleep, mimi ni mmoja wapo, nimefungiwa kifaa kinachoitwa pain implant, kiko kama pace maker za wagonjwa wa moyo, kifaa hicho ni cha chuma, hutumia nguvu ya elecromagnetic kukiendesha, ukipita kwenye mazingira yoyote yenye high electric currency, au au high voltage, umeme mkubwa, unaproduce, electromagnetic waves ambazo zinaweza kuingiliana na hiyo implant, hivyo unashauriwa kuepuka kupanda lift, na badala yake utumie ngazi, ukipita kwenye zile metal detectors zinapiga kelele.
Watu wote wenye metal implants pia wamepewa medical card, ili kuonyesha kwenye security check points. Vifaa hivi havina tatizo lolote kusafiri navyo kwenye ndege, ila tahadhari ni kwa ndege za safari za masafa marefu, likitokea tatizo angani mwanzo wa safari, hakuna medical attention kwenye ndege ku reset hiyo pacemaker, hivyo kama tahadhari tuu kama za mwanamke mja mzito, usisafiri safari za masafa marefu sana!.
Na sio tuu safari za masafa marefu, hata raundi, unashauriwa usiende raundi nyingi!.
Zaidi ya hapo hakuna tatizo lolote!.
Pasco
kweli wewe siyo mtaharam ila mtaalamu kidogooMi sio mtaharm kivile ila idea ninayo kidogo. Kwa wagonjwa waliofanyiwa operashen nakuwekewa viungo vya bandia hasa wanawake wanaowekewa matiti na makalio huwa hwaruhusiwi kupanda ndege hasa zire za masafa marefu.
Hii hutokana na vile viungo vilivyowekwa ambavyo ni bandia vimetwengenezwa kutumika katika standard air density. Sasa zile ndege ziendazo masafa marefu hupita anga za juu sana ambapo air density ni tofaut. Sasa wale wenye viungo bandia huteseka sana.
Pain implant kinawekwa kwenye sehemu gani ya mwili? Na kuna hospitali nchini zinazoweka hivyo vifaa?Mkuu Salary Sleep, mimi ni mmoja wapo, nimefungiwa kifaa kinachoitwa pain implant, kiko kama pace maker za wagonjwa wa moyo, kifaa hicho ni cha chuma, hutumia nguvu ya elecromagnetic kukiendesha, ukipita kwenye mazingira yoyote yenye high electric currency, au au high voltage, umeme mkubwa, unaproduce, electromagnetic waves ambazo zinaweza kuingiliana na hiyo implant, hivyo unashauriwa kuepuka kupanda lift, na badala yake utumie ngazi, ukipita kwenye zile metal detectors zinapiga kelele.
Watu wote wenye metal implants pia wamepewa medical card, ili kuonyesha kwenye security check points. Vifaa hivi havina tatizo lolote kusafiri navyo kwenye ndege, ila tahadhari ni kwa ndege za safari za masafa marefu, likitokea tatizo angani mwanzo wa safari, hakuna medical attention kwenye ndege ku reset hiyo pacemaker, hivyo kama tahadhari tuu kama za mwanamke mja mzito, usisafiri safari za masafa marefu sana!.
Na sio tuu safari za masafa marefu, hata raundi, unashauriwa usiende raundi nyingi!.
Zaidi ya hapo hakuna tatizo lolote!.
Pasco
Kumbe ndio maana kuna watu wanapenda kusafiri na ndege tu. [emoji3] [emoji3]Ugonjwa mwingine ni Neema [emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndio maana kuna watu wanapenda kusafiri na ndege tu. [emoji3] [emoji3]
Pata picha daktari anakuandikia hiyo therapy doze na usawa huu ulivyo mgumu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huenda wana huo ugonjwa aiseee
[emoji134][emoji134][emoji134] ningepitisha bakuli kila sehemu...Pata picha daktari anakuandikia hiyo therapy doze na usawa huu ulivyo mgumu.
Bakuli tena na pesa ilivyo adimu! Labda uombe kibarua cha ukonda wa ndege au mfanya usafi ndani ya ndege.[emoji134][emoji134][emoji134] ningepitisha bakuli kila sehemu...
Mungu apishilie mbali.