Hivi kuna watu kiafya huwa hawaruhusiwi kupanda ndege mara kwa mara?

Ndiyo. Wenye mioyo ambayo haiwezi kuhimili turbulent weather hususan wanaosaidiwa mioyo yao na valve artificial.
 
Mmh, pasco uliwekewa mwaka gani.?!
 
Pain implant kinawekwa kwenye sehemu gani ya mwili? Na kuna hospitali nchini zinazoweka hivyo vifaa?
inawekwa kupenyeza copper cables kwenye brain na spinal cord ku block transmission ya phantom pain isiwe transmitted kwenye body parts. Implant hiyo inaitwa neurostimulator implant. Inatengezwa US, hapa Africa ilikuwa inaweza kuwekwa South Africa tuu zamani hizo, lakini sasa tumeendelea kama tunaweza kufanya transplant, open heart surgery na neuro surgery, then pia tunaweza kufanya neurostimulator implant surgery.

Pasco
 
Hapo kwenye raundi na wadada wa siku hizi si kusaidiwa nje nje?
Ni kweli hili la kusaidiwa linategemea tabia binafsi ya mke, self control yake na sex drive, kama drive ni kubwa, na akawa ni kutoka zile tribes ambazo wanawake wao wako loose, huwezi kuzuia lazima usaidiwe! .

Ushauri kuhusu rounds pia unawahusu wanaume wote wenye heart problems, wenye kisukari, wenye pressure na over 50 wote wanao date vibinti vidogo, lazima utasaidiwa tuu, kama sio na watu, then hata na dildo! .

Pasco
 
Sidhani kama ni kweli ukifungiwa mfano pace maker unazuiwa kusafirina ndege.nachojua mm pacemaker ukiwa nayo wanazuia usikae karibu na mawimbi ya simu na mamwumbi nadhani ya xray.kwanza pacemaker zilikuwa zinawekwa nje ya nchi na MMC ndo wamewekea watu wawili so far(tena kwa mbewembwe kubwa na kusema ni upasuaji mkubwa wakati kiuhalisia hata moyo haupasuliwi.Watanzani tunadanganywa sana) sasa huku nje watu walikuwa wanaenda na meli ? Mi naamini wanaoogpa kwenda nje kwa ndege labda ni experience mbaya ya ma turbulence illiyowahi kutokea.Unaweza kukutana turbulence ukafikiri kuna watu wanaipiga ndege mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…