Hivi kuna Waziri anamzidi Bashungwa wa Tamisemi kwa kutoa Matamko ya Maagizo?

Hivi kuna Waziri anamzidi Bashungwa wa Tamisemi kwa kutoa Matamko ya Maagizo?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Bila kuchoshana twende kwenye mada..

Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji..

Mh.Waziri kuna namna nyingine ya kuhakikisha mambo yanafanyika sio Matamko kila siku harafu utekelezaji hakuna.👇

Screenshot_20220708-192307.png
 
Bila kuchoshana twende kwenye mada..

Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji..

Mh.Waziri kuna namna nyingine ya kuhakikisha mambo yanafanyika sio Matamko kila siku harafu utekelezaji hakuna.[emoji116]

View attachment 2284696
Huyo waziri hamna kitu
 
tamisemi inafanya kazi na halmashauri zote. Na halmashauri ina idara nyingi. Kwa uchache tu ipo
1) idara ya fedha- hapo kuna wizara ya fedha,
2) idara ya uchumi na mipango wizara ya fedha na mipango,
3) idara ya afya-wizara ya afya,
4)idara ya elimu-wizara ya elimu,
5)idara ya kilimo- wizara ya kilimo,
6)idara ya maendeleo ya jamii-wizara ya maendeleo ya jamii.
7)Idara ya mipango miji- idara ya ardhi na nyingine nyingi kwanini waziri asiwe anatoa matamko kila siku wakati anasimamia karibia kila kitu. Kama alivosema jamaa mmoja hapo juu. Hi wizara ni pasua kichwa.
 
Kama hutaki atoe matamko anapokwenda kutembelea miradi iliyo chini ya wizara yake unataka awe bubu?

Na akiwa bubu si utasema tena amelala hafanyi kazi?

Shut up.
 
Back
Top Bottom