The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hata yeye mwenyewe kasahau ametoa Matamko mangapi toka jumatatu ππUngekuwa unaijua Wizara ya OR-TAMISEMI usingeandika hiki ulichoandika.
Hii Wizara ni pasua kichwa.
Anatoa Sana Matamko kiasi kwamba anadahau hadi maagizo ya awaliapunguze fegi maana mdomo unapinda
Huyo waziri hamna kituBila kuchoshana twende kwenye mada..
Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji..
Mh.Waziri kuna namna nyingine ya kuhakikisha mambo yanafanyika sio Matamko kila siku harafu utekelezaji hakuna.[emoji116]
View attachment 2284696
JF raha sana,eti π€£π€£π€£π€£Hata yeye mwenyewe kasahau ametoa Matamko mangapi toka jumatatu ππ
π€£π€£π€£apunguze fegi maana mdomo unapinda
Hivi ni mvutaji?apunguze fegi maana mdomo unapinda
Una utaahira wewe sio bureYaani sasa hv inapita miezi hata mi5 hakuna Waziri au Naibu Waziri aliyefutwa kazi na Rais!
Ina maana wanachapa kazi kweli2!!??
R.I.P Magu
Umerekebisha nini Sasa?Unamaanisha maagizo au maagizo nitarudi baadae....
Ungekuwa unaijua Wizara ya OR-TAMISEMI usingeandika hiki ulichoandika.
Hii Wizara ni pasua kichwa.