Kunawatu wanameza waschokula, wapo katka makundi haya. 1. Anaangalia chakula huku akijshbsha kwa mawazo. 2. Anaangalia mtu anaekula chakula huku yeye anashba...hivi faida kubwa hasa n nin? Ni fahar ya macho? La hasha! Kwan mtu huyu ananjaa ndo maana anakiangalia chakula. Shda yake ni nin hasa? Kula ama? Bandugu, na bauliuzia hawaaaa...wanaokesha madirshan mwa vyumba vya watu, nyumba za wageni,na waleeee kwenye magar, maofsini na maeneo mengne. Hujawafaham tuuu...Haoo WAPIGA CHABO