Hivi kundi la Tiptop ndo imekufa au?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Mwaka unakata sasa hatujaskia ngoma za ili kundi wala dogo janja,madee,tunda wakitoa ngoma mpya au ndo meneja yupo bize na platnum.
 
Ipo siku ata dola ya Amerika itaanguka. Jiandae kisaikolojia.
 
Tunda ametoa nyimbo mbili kwa mpigo ila hao wengne na kundi kwa ujumla hawajatoa
 
Haijakufa sema Babu Talle yupo busy na Diamond... amesahau msemo usemao, usiache mbachao kwa msala upitao! Kwavile role model wa Babu Tale ni Saidi Mringe a.k.a Mkubwa Fella basi katika hili nalo anatakiwa kujifunza kwa Said Fella. Kwamba, ingawaje na yeye anakula za kutosha kutoka kwa Diamond lakini bado anaendelea kuwekeza kwa wengine kv Yamoto Band bila kuwasahau akina Chege!
 
Lipo, Linasubiri CCM kwenye chaguzi mkuu mwakani.
 
Hahahaaa.. Na ukijitoa imekula kwako...
 
Tema mate tuwachape n' Ni sheedah za Madee zimetoka mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…