Hivi kungekuwa na show kati ya vifuatavyo kwa mda mmoja, wewe ungeenda wapi?

Hivi kungekuwa na show kati ya vifuatavyo kwa mda mmoja, wewe ungeenda wapi?

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
805
1.SIMBA vs YANGA


2.MONDI vs KIBA



Utaenda wapi ili uridhike kunako kwa moyo,kana kwamba hata baby ako akikutext nitumie laki 2 unatuma bila kuuliza matumizi.
Fungukeni.
 
Yaan nikaangalie wakati viuno wa kiume?



sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Simba Vs liboro

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom