Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Aisee! kumbe ni kitu ambacho kinawezekana eeh!? maana nlikuwa najiuliza kweli khs hili! Asante sana kwa mchango wako mkuu!It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..
Etieh!? Kuumbeee! Asante sana kwa mchango wako!inawezekana na huwa zinakuwa nzuri zaid kwani mnakuwa mnafahamiana zaidi hasa kitabia
Ok! kumbe ni jambo zuri, sikuwahi kushuhudia haya mahusiano, nadhan hata ndoa ikiwa na matatizo ni rahisi kuweka mambo sawa!Inawezekana na binafsi naona ni jambo zuri sababu mtakuwa mnajuana. Ila shida ni pale ndoa ikivunjika basi inaathiri hata hayo mahusiano ya familia husika
Au siyo, dah kumbe inalipa aisee! ngoja nianze kurusha ndoano huko hahahahaa!tena wazazi huwa very happy kwa ndoa za hivyo
Eeeeh dah umenipigia tafu ya nguvu aisee, nimekupatia thanks hapo kaka!yaani hii ni bomba sana unakuwa umemuoa sio tu mke bali rafiki pia ambae unamjua sana kuanzia mnakua mpaka amekua mtu mzima, tabia zake pia na anapenda nini na anachukia nini,,,,,oa tu mopao
Hahahahahaa! Mkuu naona umeniongezea petrol ya kutosheleza safari nzima moyoni,shukrani kwa kunisapoti mkuu! Chukua thanks hapo!Mh!Inaonekana jamaa kadata!Go on,its gud!
Asante sana Wahida! Nimekupa thanks mkuu!ni vizuri sana ,kwani kuoa sehemu ,unayo ijua unakua unapata kujua wale watu vip wana behave, usije kwenda posa sehemu kumbe wakorofi watukanifu,but sehemu una wafahamu lazima utajua ni watu wa aina gani,
Wewe point zako ni fupi fupi lkn zimebeba ujumbe wa kutosha kama wenzako wote waliochanga,chukua thanx baba!where your heart is.....that is where your treasure is................