Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Wenye hela nasikia hamnaga hizo mambo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna Mwanaume anadiriki kuoga?
Ukishaoga ndio unakuwaje sasaSisi wazee wa zege lazima tuoge mzee
Lipia tangazo mkuu😄View attachment 3178641
View attachment 3178642
Hizi sabuni ni nzurii sanaa ambae hajawai kuzitumia aanze kuzitumia..
😆😆😆Wee sema kweliSiyo lazima ujimwagie/kusimama kwenye "bombamvua" na kujisugua,hata ukiyatazama maji tu,hakika umeoga.Muwe mnasoma biblia.
Hakyanane.Niamini mimi.😆😆😆Wee sema kweli
Heee...kwahiyo pesa zinaondoa hadi uchafu mwilini nyiee...😄🙌Wenye hela nasikia hamnaga hizo mambo...
Naomba unitajie mstari wa biblia basi nikasome niache kujichosha kuoga oga Kila siku..😊Hakyanane.Niamini mimi.
Wewe soma yote.Unaweza kuokota na mengine mazurimazuri mkuu.Naomba unitajie mstari wa biblia basi nikasome niache kujichosha kuoga oga Kila siku..😊
Aweke na bei na location ya dukaLipia tangazo mkuu😄
🙂🙏Sawa mkuu..Wewe soma yote.Unaweza kuokota na mengine mazurimazuri mkuu.
Sijui kwanini biblia inasema kuoga kwa maji sasa huwa najiuliza hivi kuna kuoga kuoga bila kutumia maji?Siyo lazima ujimwagie/kusimama kwenye "bombamvua" na kujisugua,hata ukiyatazama maji tu,hakika umeoga.Muwe mnasoma biblia.