Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Sio lazima wala sio muhimu sana japo inategemea na sabuni unayotumia, mara ngapi unaoga kwa siku, kazi unazofanya kwa siku na hali ya maji unayoogea. Pia kuna kingine aina ya ngozi uliyonayo, aina ya mafuta unayopaka mwili, aina ya marashi unayotumia na msosi unaokula mara kwa mara.

Yote haya ni muhimu kuzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…