Hivi kupanda kwa bei za bidhaa hasa vifaa vya ujenzi bado tunaunga juhudi hizi? Dangote , Nyati, twiga wamesimama

Hivi kupanda kwa bei za bidhaa hasa vifaa vya ujenzi bado tunaunga juhudi hizi? Dangote , Nyati, twiga wamesimama

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Cement kwa sasa haikamatiki na inaendelea kuapanda bei tuko busy kuangalia kuungwa mkono za juhudi za wanaohama vyama ila hata vyombo vya habari "front fade" zimejaa umbea ila maisha ya watu wako kimyaaa.

Nadhani ipo siku atajulikana mbaya wetu ni nani ndio taifa litaamka naona mda huu tumelala usingizi wa pono.

Viwanda vya dangote, twiga na nyati vimefungwa kwa kisingizio wanachotoa serikali ya viwanda kuwa wanafanya maintainance na wengine tatizo la mikataba eti gesi hawampi.

Mnakumbuka sukari tangu ipande haijawai shuka
 
Tuko na mpango wa kujenga viwanda vingi zaidi vya cement na matofali. kuwa mpole.
 
Ijumaa nilikutana na Wanaccm njiani wakitoka kwenye kampeni mazungunzo yalikuwa ni hayo hayo kuwa mmoja anasikitika Cement imepanda bei sana.

Nikagundua huwezi kushabikia CCM ukawa na akili timamu.
 
leta vielelezo vya bei kwa maeneo tofauti tofauti
 
Aya malori ya Dangote yanayo tembea barabarani yakiwa na cement yanatoka nchi gani
 
juhudi zinazoungwa mkono ni zile za KUUA upinzani.
Sio za maendeleo.
Tanzania ni ile ile ya enzi ya kikwete.
 
Unaharibu kinu tu unabakia kuuza stock
 
Mfuko ni zaidi ya 18,000/. Na hii kama ilivyokuwa kwa sukari ndio haitashuka tenaa, and no body cares!!!
 
Aya malori ya Dangote yanayo tembea barabarani yakiwa na cement yanatoka nchi gani
haya malori si yaliwahi kushutumiawa yanasafirisha wahamiaji haramu? Sio kila ulionapo hilo lori lina simenti mengine yamejaa wasomalia!
 
Back
Top Bottom