Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damu zikigusana na mwenye nao kwanini usiambukizwe?Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
ndio kunaweza sababisha kama tu wahusika wanavidonda na kukawa na muingiliano wa damu.Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
So ngumi ni tabia hatarishi?Ngumi haziambukizi ila damu kukutana.
Exactly mkuuSo ngumi ni tabia hatarishi?