Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jul 25, 2024 #1 Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI?
Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 494 Reaction score 856 Jul 25, 2024 #2 Lycaon pictus said: Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI? Click to expand... Damu zikigusana na mwenye nao kwanini usiambukizwe?
Lycaon pictus said: Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI? Click to expand... Damu zikigusana na mwenye nao kwanini usiambukizwe?
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Jul 25, 2024 #3 Ngumi haziambukizi ila damu kukutana.
Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 494 Reaction score 856 Jul 25, 2024 #4 Niliwahi kung'ata mwalimu kwenye sikio nikajikuta kwenye gari mara paap niko hosptal pamoja yule mwalimu. Punde kidogo wote tunatolewa damu,kumbe walikuwa wanatupima ngwengwe!! Shenzi kabisa
Niliwahi kung'ata mwalimu kwenye sikio nikajikuta kwenye gari mara paap niko hosptal pamoja yule mwalimu. Punde kidogo wote tunatolewa damu,kumbe walikuwa wanatupima ngwengwe!! Shenzi kabisa
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Jul 25, 2024 #5 Majibu kapata.
SSMashinji Senior Member Joined Aug 10, 2023 Posts 129 Reaction score 191 Jul 26, 2024 #6 Lycaon pictus said: Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI? Click to expand... ndio kunaweza sababisha kama tu wahusika wanavidonda na kukawa na muingiliano wa damu.
Lycaon pictus said: Ngumi za kutoana damu, au hata ngumi za kumpiga mwizi. Kunaweza sababisha maambukizi ya VVU na hatimaye UKIMWI? Click to expand... ndio kunaweza sababisha kama tu wahusika wanavidonda na kukawa na muingiliano wa damu.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jul 26, 2024 Thread starter #7 Ibn Unuq said: Ngumi haziambukizi ila damu kukutana. Click to expand... So ngumi ni tabia hatarishi?
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Jul 26, 2024 #8 Lycaon pictus said: So ngumi ni tabia hatarishi? Click to expand... Exactly mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 26, 2024 #9 Damu kukutana... Cc: Mahondaw