Hivi kusudi la maisha ni nini?

Dunia ni sehemu ya mtihani wa mwanadamu sasa tunakufa as if ndo tumemaliza mitihani yetu halafu tunaenda kuhesabiwa siku ya kiama kama ulitenda mabaya au maovu

Yni ni mfano wa maisha ya shule tu
fafanua vizuri chanzo cha mitihani yote hii kilianzia wapi ili wakuelewa kuzudi la kuletwa mwanadamu na ahadi alizopewa kama atashinda hili jaribio.
 
KUHUSU MAANA YA MAISHA:

Hakuna maana ya maisha,
Wala hakuna anayejua maana halisi ya maisha yake.

Kila mtu anaishi kwa kutumia taarifa alizozipokea tangu akiwa utotoni.

Malezi, utamaduni, eneo, lugha, na watu waliokuzunguka ndiyo wanaamua maana yako ya maisha.
Ukibadilisha mazingira tu na β€œmaana” nayo hubadilika.

Maana si ya dunia nzima.
Imefungwa kijiografia.
Inategemea ulipozaliwa, ulikokulia, ulichokisoma, ulichokiona na ulichokisikia.

Mfano:
Ungezaliwa UAE huenda ungekua mufti matata sana πŸ˜†|

Kuna watu wanafika mbali mpaka wanatfsiri maana ya maisha kupitia kazi,
Mfano nimeona watu ambao biashara au kazi zao zinawaingizia kipato kizuri wanadai kwamba wanaishi "Maana ya maisha yao".

Huku wanaofanya kazi au biashara za aina hiyo hiyo ila hawapati matokeo labda kwasababu ya mazingira waliyopo wanaambiwa bado hawajaijua "Maana ya maisha yao".

Kazi au bishara ni ile ile ila mazingira na hali vimetofautisha maana ya maisha yao.

Kama maana inakuwa maana pale inapoleta matokeo chanya tu inapoteza maana,
Kwasababu siku ikileta matokeo hasi kunakuwa hakuna maana tena.

Mkristo atakwambia maana ni kumjua Jehovah na amri zake na kumkiri Yesu kama mwokozi.

Muislamu atakwambia maana ni kumcha Allah, kufuata amri zake na kusikiliza maagizo ya Muhamad S.A.W.

Mbudha, Myahudi, Muafrika, Tajiri, Masikini, Msomi, Mwanafalsafa na kila mtu atakupa tafsiri yake ya "Maana ya maisha".

Kama kweli maisha yana maana, bhasi ilipaswa iyo maana iwe universal na siyo itofautiane kati ya mtu na mtu, sehemu na sehemu.

Hivyo Maisha hayana maana yeyote,
Ni wewe binafsi tu ndiye unayetafsiri maana ya maisha yako.

KUHUSU KIFO:

According to the Law of conversation of energy and matter.

Mtu haufi tottally,
Unakufa Ufahamu (consciousness), Kumbukumbu (Memories) na Utambulisho wako (Identity).
Ila matter and energy yako inabadilika in other form.

Kiumbe kinapokufa, vitu vya mwili wake havipotei (Hydrogen, Oxygen, Calcum, etc.).
Ila vinasambaa katika mazingira.
Bakteria wanavunja tishu za mwili, na elementi zote zinarudi kwenye udongo, hewa, na maji.

Mimea inazichukua kutoka kwenye udongo.
Wanyama wanakula tena mimea hiyo,
Hivyo, atomu zile zile zinaingia tena katika viumbe vingine vilivyo hai.

Kwahiyo usiogope kufa bali furahia kufa kwasababu ukifa unasaidia mzunguko wa uhai.
 
chanzo cha hzi dini ni kipi? Je hv vitabu Quran, injili, taurati na zaburi vyanzo vyake ni nini? na vimekuja kwa lengo lipi katika ulimwengu huu?
 
Kila siku unakula kuku na samaki, ama huoni kama unakula wenzio 😁
Hawa kuku samaki wanafanana, sisi binadamu hatufananani! Atakaye nireplace hatokuja kama mimiπŸ₯Ί i wanna live forever😫
 

Taifa la Marekani limepata Uhuru wake kutoka Uingereza zaidi ya miaka 200 iliyopita. Jiulize wale watu walioishi miaka 200 iliyopita wakati Taifa la Marekani bado wanaishi???

TANZANIA umepata Uhuru wa Tanganyika Mwaka 1961 na Zanzibar Mwaka 1964 na Muungano ukapatikana Mwaka 1964.

Je, wale walioishi kipindi Tanzania unapata Uhuru bado wapo? Tutegemee miaka mingapi na wao wade? Na hiki kizazi cha Gen Z tutegemee na wao watampata Rais wao wa kizazi chao, Je CDM na CCM wameshamuandaa Gen Z wakuongoza nchi???

Maana baada ya Mh. Samia anayefuata ni Mh. Mwinyi au Mh. Riz 1 ili tupate Busara zaidi ya kutoka kwa Hawa viongozi ambao Baba zao walikuwa Maraisi wa nchi.

Umejiandaaje????
 
Unakosa uhondo.
Hili nakubaliana nalo, maisha hayana kusudi ila sisi tunaweza kuyapa maisha yetu kusudi
Inabidi nianze kusoma vitabu, maana ukitoa vitabu vya darasani sijawahi kusoma kitabu kinachohusu vitu ambavyo nina interest navyo
 
Mimi sijaridhika na uongozi wa Tanzania na there's nothing I can do about it
Waendelee kupeana nchi kwenye ukoo wao wanavyotaka, maana ni kama wapo kwenye mission ya kuharibu taifa. Watajijua wenyewe
 
Hawa kuku samaki wanafanana, sisi binadamu hatufananani! Atakaye nireplace hatokuja kama mimiπŸ₯Ί i wanna live forever😫
Kuku na samaki wanafanana machoni pako. Wao wenyewe wanajua kutofautishana πŸ™‚
 
Kabla hujazaliwa pengine ulikuwa nafsi hivyo uko duniani kuishibisha nafsi yako kwa mema ya nchi then itarudi ilikokuwa na vyote vilivyopo vita pita lakini inatakiwa vipite mikononi mwako then utapimzika so die as a legendary
 
Hua sibishani na watu kama nyinyi

Mana nyie ndo mnotia sukari kwenye nanasi!
Shabbash kabisaaa
Sukari na nanasi vina husiana vipi na mungu

Jinga , Mungu angekuwepo asinge waacha wapalestina wanao muamini Allah kuwa ndiye mungu wao wapewe mkong'oto Kila siku

Mungu angekuwepo asinge Acha Muhammad apigane vita sijui ya jihad kwaajili ya kuusimamisha uislam !! Angefanya tu miujiza yake na watu wote automatically wange jikuta baada ya kuamka asubuhi wame amua wao wenyewe kuwa waislam bila ya hata kupigana vita , hata wale waliokuwa wanampinga Muhammad na wao wangejikuta automatic wana kuwa waislam kusingekuwa na haja ya kuchinjana
 
Hujui uliongealo pole sanaa
 
Mada yako inafikirisha ila umejibagua na kujipendelea sana kama binadamu(labda kwa vile una utashi jambo ambalo viumbe wengine hawana).
Lakini kiujumla swali lingekuwa "Ulimwengu ulianza lini na ni nini madhumuni/lengo la uwepo wake".
Swali kama hilo lingebeba maana pana zaidi.

Kwa upande wangu ninajiona sina tofauti na kiumbe mwingine yeyote anayeishi hapa duniani(wanyama, wadudu, mimea nk) ambao kimsingi wanaishi kwa kutegemeana(kiumbe kuishi kwa kutegemea kifo cha mwingine)..lengo kubwa likiwa kuifanya dunia kuwa active (hai).
Swali GUMU hapo ni je, Dunia inatakiwa kuwa hai kwanini na kwa sababu gani!?

Kwa hiyo jibu la swali lako....Viumbe wote hai ni malighafi ya kuifanya dunia active.
 
😁😁😁 Wakati Israel inajilinda na maadui kwa teknolojia ya Iron dome kwenye anga lao sisi wafia dini wa kibongo tunasema tunalindwa na Mungu wa Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…