Hivi kusudi la maisha ni nini?

Kusaidia viumbe vingine vi exist on the future. Kwa maana gani unasaidia kureproduce other beings, feed and your death helps others to exist on the future.

🤔🤔🤔I don't think there nothing than this.
 
Ulimwengu una kelele nyingi! Mwombe Mungu kila wakati, kusudi lako utaliona ukiwa mtulivu.
 
Muhimu tuyape maana maisha tu ili tupate cha kutufari , ndio maana akili ya binadamu ikaunda IMANI ya Mungu ili kuyapa maana maisha tu
Yeah ni sahihi
Najua kuna watu wengi sana walijiuliza kama mimi na kuona kama maisha hayana maana. Walipoona vitu wamevikuta na vinaendelea kuwepo hata hawaelewi vimetoka wapi, hatima yake nini, ili iweje nk wakaamua kutengeneza dini. It was a genius idea, ili kujiepusha na haya maswali ambayo hatuwezi kupata majibu yake
 
Ardhi ni ndogo hivyo kifo ni lazima ili kuwe na space la sivyo dunia nzima tungekuwa wengi tumejazana hakuna hata kutembea
 
Kusaidia viumbe vingine vi exist on the future. Kwa maana gani unasaidia kureproduce, feed and your death helps others to exist on the future.

🤔🤔🤔I don't think there nothing than this.
It's true there's nothing more than that
Unazaliwa ili kusaidia viumbe vingine vi exist in future, ambavyo navyo vitakuwepo ili visaidie viumbe vingine viwepo in future, na hivyo vitakavyokuja vitakuwepo kwa lengo hilohilo
Sidhani kama kuna maana nyingine ya maisha zaidi ya hapo
 
Na baada ya kufa kuna maisha mazuri kwa watu wema na makazi ya moto kwa watu wabaya

Allah anasema dunia haikuumbwa kimchezo mchezo,ila kuna kusudio maalumu,hapa tunapita tu,kikubwa tujue maisha ya hapa duniani ni pumbao na upuuzi mtupu,ila maisha yajayo ndio ya kudumu na milele

Shida ya wanadamu maisha haya ya kipuuzi ndio tumeyafanya ya milele,najua kuna watu hawataelewa hili,subiri nami nasubiri mpaka siku ya hukumu
 
{ وَمَا ٱلۡحَیَوٰةُ ٱلدُّنۡیَاۤ إِلَّا لَعِبࣱ وَلَهۡوࣱۖ وَلَلدَّارُ ٱلۡـَٔاخِرَةُ خَیۡرࣱ لِّلَّذِینَ یَتَّقُونَۚ أَفَلَا تَعۡقِلُونَ }
[Surah Al-Anʿām: 32
Ili iweje
Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?
]
 
Bwashee sio kama hamjui ukweli nyinyi ila matamanio yenu yanawaongoza vile yanavotaka na ndio Mungu wenu
Hhahaha kila mwenye imani yake atasema hivi , muhimu unayapa maisha maana ili upate sababu ya kuishi kwa faraja fulani sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…