Hivi kusudi la maisha ni nini?

Just enjoy your time to the fullest, hundred years from now nobody will give a damn that you ever existed.
You should also know that even the children of your grandchildren won't give a damn who you were or what you did, have you ever tried to know about the parents of your grandparents?
 
Ila ukifanya kitu kikubwa chenye mchango jina lako litabaki,
 
Na hizo ahadi zake za wanawake wengi peponi sio kila mtu anavutiwa nazo
Sio kila mwanaume starehe yake ni wanawake wengi ila watapewa hao wanawake kama zawadi anyway
Mbaya zaidi nasikia wanakuja wanawake wazuri tupu, maana yake Mungu anajua wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri
Sasa wanawake ambao society inawa term kama wabaya watajisikiaje kujua kuwa hata peponi hawana soko?
 
Kina Hawa watu wa spiritual na issue zao za reincarnation sjui ni kweli au ndo km mambo ya mbamizwa kobaa cc Poor Brain na mwenzie yupo jikoni sasa anaandaa chai mbamizwa futaa cc secretarybird
Maisha ni upumbavu upumbavu, umalaya umalaya, unyetukaji unyetukaji, ujambazi ujambazi n.k.

In short ni upuuzi upuuzi.

Cc Infropreneur
 
Mbona huyo sio mbaya bwashee vitamu sana hivyo πŸ˜‹
 
Mbona huyo sio mbaya bwashee vitamu sana hivyo πŸ˜‹
Ukisikia washika dini wanavyowapamba hao wanawake ambao Mungu atatugaia wanaume unaweza ukaona hapa duniani wanawake waliokidhi hivyo vigezo ni wachache sana, inaonekana Mungu atatupa wanawake wengine ambao hawakupita hapa duniani, na wa hapa duniani watapitishwa pisi kali na wengine labda miili yao itakuwa adjusted ili kufikia vigezo πŸ€”
 
Huko kwingine hakuna kuoa wala kula ila ni harusi moja tu ya mwana kondoo , just imagine ni harusi moja tu na hakuna kula kunywa wala nyie wengine hamruhusiwi kuoa
 
Swali hili ukijiuliza sana hautaona thamani ya maisha.
 
Ila ukifanya kitu kikubwa chenye mchango jina lako litabaki,
Hilo jina litakuwa na faida gani kwako wakati hakuna atakayekuwa anajali kama ulikuwepo, four or five generations from now pengine hata jina lenyewe halitakuwepo japo hata likiwepo maiti yako iliyokwisha oza na kusahaulika haitakuwa na faida na hilo jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…