Hivi kusudi la maisha ni nini?

Tumuone Ili iweje? Bora hata hataki maana binadamu tuna mambo ya ajabu ajabu, mazoea ndo usiseme!
Kama hataki tumuone basi atuache na maisha yetu, ikiwezekana huo moto wa milele auzime kabisa huko ulipo.
Maana hatuna jinsi ya kujua kama kweli yupo
 
Na wanawake huko peponi watapewa zawadi gani kama wanaume watapewa vimwana super 72 kwa kila mmoja?
 
Huko kwingine hakuna kuoa wala kula ila ni harusi moja tu ya mwana kondoo , just imagine ni harusi moja tu na hakuna kula kunywa wala nyie wengine hamruhusiwi kuoa
😂😂 Sasa huko si hakuna haja ya ndoa maana mnaishi milele anyway na hakuna dhambi, yani ruksa kupeleka moto unavyotaka
 
Uko hapa, au umekuja hapa katika huu ulimwengu kwa kazi moja tuu ambayo ni KUJIFUNZA.
 
Wapi ulishuhudia akimchoma mtu moto?🙄😲😲
 
Wapi ulishuhudia akimchoma mtu moto?🙄😲😲
Si wanatuambia wadhambi wote tunaenda kuchomwa moto wa milele 😂 😂
Mamilioni ya watu wanaamini hivi so najiuliza kwa nini anatuchoma moto.

Binafsi naona angepanga kutujibu maswali tunayojiuliza kwa muda mrefu, atuelezee maisha yana maana gani, na nini kilimu inspire kuleta maisha duniani. Ilikuwa ni experiment au ni nini. Vitu kama hivyo yani, atueleweshe kama marafiki badala ya kutuchoma moto juu ya vitu ambavyo hata hatuelewi vipo kwa ajili ya nini
 
Hizo ni storee wewe...hakuna kitu kama hicho, kwanza hana huo mda, ana kazi nyingi sana!

We ukidanja habari yako imeishia hapo! Ndo maana mimi daily ni kula Bata, maana najua fika anytime kinanuka🤣🤣🤣
 
tunaishi ili kukamilishi mfumo mkubwa unaofanya kazi, kwa mfano mwili ulivo kuna cells kuna mifupa, so na sisi ni sehem ya kitu flan kikubwa tupo hapa kukamilisha huo mfumo
 
Kama binadamu kaumbwa kuja kufanya ibada, kwa nini asiachwe aishi milele ili azifanye ibada vizuri???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…