android649
Member
- Nov 8, 2025
- 5
- 4
Unajua nikikaa na hawa watu wakanielezea haya mambo huwa naona kama naongea na mtu asie na akili yani eliesetiwa wewe mwelekeo wako ni huku.sijui huwa wana hisia gani bila kuhojiYani ukifikiria hilo jibu eti tumekuja ili tumwabudu, naona ndio havimake sense kabisa. Kwa nini anataka tumwabudu?
Ngoja nikae kimya 🤣Mi siliwi mkuu😎
Born to suffer 🤣Kuzaliwa kuzurura kuteseka kufa
Atakuachaje wakati kakuumba?...lazima akucheki Kila dk Ili ukiharibu kwa viumbe wake akupe za uso, ndo tunaiita karmaKama hataki tumuone basi atuache na maisha yetu, ikiwezekana huo moto wa milele auzime kabisa huko ulipo.
Maana hatuna jinsi ya kujua kama kweli yupo
Mmh 🙄Atakuachaje wakati kakuumba?...lazima akucheki Kila dk Ili ukiharibu kwa viumbe wake akupe za uso, ndo tunaiita karma
Majinga hayo yanayosema Mungu hayupo!...hata kwa maisha yetu ya daily Kila mmoja wetu kaishamfanyia miracle mpaka unajiuliza hapa nimechomokajeHii dunia ni kama chungwa tu machoni mwako....mbele ya aliyeiumba
Nashangaa mtu anashupaza shingo anasema ulimwengu umexist frm no where.... Duuh
Yaani mtu anatoka ktk hzi process
Maji/manii-Pande la damu-pande la nyama-mjusi/kiumbe afu haoni kuna uumbaji apo
Mwenyezi Mungu hanaga papara, we tulia omba tu uhai ushuhudie, Kuna bonge moja la revenge linaandaliwa mpaka utaona huruma!Mmh 🙄
Nazidi kuchanganyikiwa. Maana hapa Bongo maaskari walioua watu October 29 bado wanaendelea kuishi kwa raha mitaani, wanaota na vitambi
Kama haiwezekani huu ulimwengu uwe ume exist from nowhere, Iliwezekana vipi kwa huyo Mungu ku exist from nowhere?Hii dunia ni kama chungwa tu machoni mwako....mbele ya aliyeiumba
Nashangaa mtu anashupaza shingo anasema ulimwengu umexist frm no where.... Duuh
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji uumbaji, Hata huyo muumbaji wa kila kitu atahitaji uumbaji wake.Yaani mtu anatoka ktk hzi process
Maji/manii-Pande la damu-pande la nyama-mjusi/kiumbe afu haoni kuna uumbaji apo
Mungu ni mkubwa kuliko dunia. Alitokea wapi?Hii dunia ni kama chungwa tu machoni mwako....mbele ya aliyeiumba
Nashangaa mtu anashupaza shingo anasema ulimwengu umexist frm no where.... Duuh
Yaani mtu anatoka ktk hzi process
Maji/manii-Pande la damu-pande la nyama-mjusi/kiumbe afu haoni kuna uumbaji apo
Njia bora ni kujituliza na kutafakari kwa kina kupitia sala baada ya kusali muombe Mungu akuonyeshe kuwa wewe ni nani na kwanini upo hapa jiulize kila siku ukimaliza kusali na unapokaribia kulalaMmh 🙄
Nazidi kuchanganyikiwa. Maana hapa Bongo maaskari walioua watu October 29 bado wanaendelea kuishi kwa raha mitaani, wanaota na vitambi
Hawa watoto waliouwawa huko Iran huyo Mungu kawafanyia miracle gani?Majinga hayo yanayosema Mungu hayupo!...hata kwa maisha yetu ya daily Kila mmoja wetu kaishamfanyia miracle mpaka unajiuliza hapa nimechomokaje
Hawaoni uumba ulitukuka ata kwa kuangalia Profile picture yako.....moyoni unasema apa kweliiMajinga hayo yanayosema Mungu hayupo!...hata kwa maisha yetu ya daily Kila mmoja wetu kaishamfanyia miracle mpaka unajiuliza hapa nimechomokaje
Tutosheke kusema asie na mwisho wala mwanzoMungu ni mkubwa kuliko dunia. Alitokea wapi?
Au we umeona watu wakiliwa mkuu?Ngoja nikae kimya 🤣
Hii ni logical fallacy inaitwa Divine fallacy.Hawaoni uumba ulitukuka ata kwa kuangalia Profile picture yako.....moyoni unasema apa kwelii
Hatuwezi kujua tusivyo vijua. Ila tunaendelela kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.Ulishawahi kujiuliza kwanini tusingekuwa tunazaliwa na kuishi milele bila kufa?
Yani hili wazo la kuishi milele, kwanini tuliwaze, je kweli kweli haiwezekani ?
Hakika tumekuja wengine kutesekaBorn to suffer 🤣