Jamani eeh, mi nimekuwa nikisikia Maneno maneno kwamba ukitumia kahawa kwa sana unapata matatizo ya Moyo,, na mimi bila Kahawa Asubuhi bado hujaniambia yaani kila siku,, nanatumia Strong Cofee,, sasa naomba ushauri ili kama inamadhara nianze mazoezi sasa hivi ya kuacha
Okay, mi nimeshaona baadhi ya madhara hasa kwenye kahawa ya ROBUSTA zaidi maana nikinywa Africafe baasi kichwa kitaniuma tena sana ni on and off ambacho ni kibaya na nahisi hata presha kidogoooooo inapanda, ila sasa natumia MILD ARABICA kama ile ya Mbinga Cafe na sipati hilo tatizo, so kwa maoni yangu kahawa kama arabica haina shida sana kwa afya kwani imekosa baadhi ya vitu vinavyoleta matatizo kama ya presha.
heeheheheheh Wazungu wana neva system kama zetu, wana mfumo wa ubongo kama sisi, wanakunya kama sisi wana kula kama sisi wanapumua oxygen nakadalika kama sisi