Wadau nipen ushauri huwa najisikia vibaya sana kuwahi kufika kileleni nifanyeje hii hali iishe au nichelewe kupizz? nipen njia za kuchelewa[/QUOTE
Jina lako litakuwa tatizo,badilisha style
Toa maelezo yako yanyooke kuwa huwa inakuwaje hiyo hali. Kama unaona kujieleza hapa haiwezekani sbb watu wengi wanaona aibu juu ya matatizo yao basi waweza kuniandikia kwa ushauri zaidi. Email: healthwealthfirst@gmail.com