Hivi kwa bajeti ya laki 7 naweza pata gari gani hata kama kuu kuu

hahaha watu bhana, wanajua kabisa hutoboi utasikia endelea kukaza mpaka mifupa ibast
 
Kinondoni unafanya nini mazee kama umekosa huko gari la laki tano unataka tulio Kiteto ndio tukutafutie..
 
Coco unatumia Ai?
 
Tafuta minada ya serikali unaweza kujipatia kajimy kako ambako hakana engine.
 
Ponjoro sijui unatania au laah
Lakini nenda wanapochinja magari hasa pale mabwe pande tandale utashangaa dunia mzee unaweza pata au ukaambiwa uongeze ogeze siku kadhaa unamiliki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…