Hivi kwa Brand aliyonayo Millard Ayo anastahili kubaki chini ya Clouds?

Fakyuol

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
148
Reaction score
325
Hivi kwa Brand aliyonayo Millard Ayo anastahili kubaki chini ya Clouds?
20231126_223545.jpg
 
Hivi kwa Brand aliyonayo Millard Ayo anastahili kubaki chini ya Clouds ?View attachment 2826154
Millard kubaki clouds ni sahihi kimkakati...

Maana ni Daraja analotumia kukuza audience mpya kila siku kwenye platforms zake zote...

Anaweza asiwe analipwa Vile unavyofikiri!...(Na hili nna uhakika nalo!)

Na pengine yeye akawa anailipa clouds kwa baadhi ya segments ambazo ataona zinamboost zaidi... Kwenye Channels zake.

Hayuko pale kwa ajili ya Salary... Na huwezi kumtoa hapo kumpeleka Azam, BBC ama kwingineko...!

Maana brand yake iko na inaishi kupitia Amplifaya! On Clouds Media Group (CMG)
 
mmh
 
Nyinyi ndio mulimshauri mavoco atoke WCB mwisho wa siku mnamcheka kufanya show vijijini, ila ndiyo akili za kibongo akiona kuna sehemu unanufaika basi utaskia ooh unanyonywa hapo jitafutie mwenywe ukithubutu tu yeye ndiyo wa kwanza kukusemanga.
 
Millard kubaki clouds ni sahihi kimkakati...

Maana ni Daraja analotumia kukuza audience mpya kila siku kwenye platforms zake zote...

Anaweza asiwe analipwa Vile unavyofikiri!...(Na hili nna uhakika nalo!)

Na pengine yeye akawa anailipa clouds kwa baadhi ya segments ambazo ataona zinamboost zaidi... Kwenye Channels zake.

Hayuko pale kwa ajili ya Salary... Na huwezi kumtoa hapo kumpeleka Azam, BBC ama kwingineko...!

Maana brand yake iko na inaishi kupitia Amplifaya! On Clouds Media Group (CMG)
Asipokuelewa itakuwa amerogwa.
 
Nyiny ndio mulimshaur mavoco atoke WCB mwisho wa siku munamcheka kufanya show vijijin , ila ndy akili za kibongo akiona kuna sehemu unanufaika basi utaskia ooh unanyonywa hapo jitafutie mwenywe ukithubutu tu yeye ndiyo wa kwanza kukusemanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mavoco kutoka kufanya show London mpk vijijini uko na kina dj misomiso mzeee unapigajee hapooo..
 
Kuna watu wanatengeneza pesa huku wakiwa wameajiriwa kwingine.
 
Back
Top Bottom