ANDREAS SON
Senior Member
- Sep 10, 2014
- 108
- 46
Nimekuwa mwajiliwa katika halmashauli kama muuguzi kwa muda miaka mitatu baada ya hapo niliacha kazi kwa kuandika barua kwa sababu zifuatazo kwanza halmashauli kuamua kusimamisha mishahara ya watumishi bila taarifa wala sababu ya msingi,halmahauli mkutofuata utawala wa kisheria kwamfano kutopandiha