Kila la kheri mkuuShukrani,[emoji122][emoji122][emoji123][emoji123]
NGOJA TUKA JIPANGE KWA MAPAMBIO
Muulizaji ameuliza swali akitaka kujua katiba na sheria zinasemaje kwenye majibu yako ulipaswa useme ni ibara ip ya katiba au kifungu kip cha sheriaKutafanyika uchaguzi wa mbunge mwingine!
SawaMuulizaji ameuliza swali akitaka kujua katiba na sheria zinasemaje kwenye majibu yako ulipaswa useme ni ibara ip ya katiba au kifungu kip cha sheria
Ibara ya 76(2)Yes true!!
Haya ndiyo majibu....Ibara ya 76(2)
"Hali kadhalika, kutakuwa na uchaguzi wa Mbunge katika jimbo la uchaguzi, ikiwa kiti cha Mbunge yeyote aliyechaguliwa kuwakilisha jimbo hilo kitakuwa wazi kwa sababu nyingine yoyote isiyohusika na kuvunjwa kwa Bunge. "