Hivi kwa hizi dharau, Biden atawezaje kwenda kwenye hafla za hadhara

Hivi kwa hizi dharau, Biden atawezaje kwenda kwenye hafla za hadhara

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Haya mambo yanayotokea hayajawahi kutokea hata kwa Trump

1633551484245.png


Ni mwendo wa FJB (f**k joe bide) kuanzia kenye clubs, viwanja, matamasa, n.k.

 
Dharau kama hizo alizipata pia Trump ila hazikumzuia kutekeleza majukumu.
Hamna jipya hapo, hizo ni kelele za chura kwa tembo.
 
Mzee Joe vitu alivyozingua,
1.Mandatory Vaccination (Hii watu wengi hawataki japo media zinajaribu kuonyesha ni issue ya kisiasa)
2.Afghanistan evacuation failure,hapa wanasingiziana tu na army generals kwamba nani alikuwa na plan sahihi.
3.Southern Border Crisis,..Hapa watu wengi wamekubali kwamba sera ya Trump kuhusu ulinzi wa mpaka ilikuwa sahihi,Biden ameonyesha udhaifu sana kwenye kulinda mpaka dhidi ya illegal immigrants.
Ndio maana mzee akitembelea states nyingi anakuta mabango ya F**k Joe Biden na mengine ya kum support Trump.
 
Dharau kama hizo alizipata pia Trump ila hazikumzuia kutekeleza majukumu.
Hamna jipya hapo, hizo ni kelele za chura kwa tembo.
Hapana aisee, trump alikuwa na watu wanaompenda mnooo na kulikua na watu wa upande wa pili, Hao waliokuwa wanampenda walikuwa ni wamekufa wameoza kwa trump, huwaambii kitu, ilikuwa kawaida mno trump kusubiriwa na maelfu ya supporters zake akienda jimbo flani.

Kwa biden hali ni tofauti, ana watu wengi sana wanaomchukia, support ndogo sana yani, hata kwenye misafara yake kunakuwa na protesters wengi kuliko supporters, Na vile hawezi kujibu maswali bila teleprompter ni ngumu
 
Back
Top Bottom