Mzee Joe vitu alivyozingua,
1.Mandatory Vaccination (Hii watu wengi hawataki japo media zinajaribu kuonyesha ni issue ya kisiasa)
2.Afghanistan evacuation failure,hapa wanasingiziana tu na army generals kwamba nani alikuwa na plan sahihi.
3.Southern Border Crisis,..Hapa watu wengi wamekubali kwamba sera ya Trump kuhusu ulinzi wa mpaka ilikuwa sahihi,Biden ameonyesha udhaifu sana kwenye kulinda mpaka dhidi ya illegal immigrants.
Ndio maana mzee akitembelea states nyingi anakuta mabango ya F**k Joe Biden na mengine ya kum support Trump.