Hivi kwa ishara hii inaashiria nini?

Hivi kwa ishara hii inaashiria nini?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Hii staili ya kidole cha kati juu huwa inaashiria nini??

Picture004.jpg
Jema.jpg
 
Hizi picha ni za jukwaa la Maria, Jimmy, na Roza!..hakyanani!
Hao wadada ni kwamba wamekaa wanauza sura na umasikini, na kutafuta bwana..period!...mwone huyo wa kwanza, mkono wa pili kwenye dudu!
Sifahamu hasa inamaanisha nini, lakini naona mtu akionyeshwa kidole hicho anapata kichaa!..Nimeona madereva wa dala2 ndo wanapenda hizo!
 
mtu akikufanyia hivyo ina maana amekuambia "nitakuto..... au nitakufi....
 
Dunia ndo iko ukingoni .Maisha magumu vibinti ka hivyo vinakurupukia mambo tu.bila kujua adhari zake.
 
Hizi picha ni za jukwaa la Maria, Jimmy, na Roza!..hakyanani!
Hao wadada ni kwamba wamekaa wanauza sura na umasikini, na kutafuta bwana..period!...mwone huyo wa kwanza, mkono wa pili kwenye dudu!
Sifahamu hasa inamaanisha nini, lakini naona mtu akionyeshwa kidole hicho anapata kichaa!..Nimeona madereva wa dala2 ndo wanapenda hizo!

Hahha haha Paka Jimmy haha haha hahha
 
Kama ni tusi sasa wamemtukana mpiga picha au sisi waangalia picha?
 
Kinaonesha tusi hasa lile tendo la Sodoma na Gomola unafanyiwa!
 
Back
Top Bottom