TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Mada yako ni nzuri Sana ,Ila ingefaa Zaidi kama ungeipeleka jukwaa la elimu au habari na hoja mchanganyiko@activeHabari wanabodi!
Bado najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu na majibu sipati.
Nahisi wazee wa zamani waliturocha
Leo hii namkumbuka Mr Yebo alishawahi "kuimba wazeee wa zamani mna......."
"Wazee wazamani mli tu............"
Je bado elimu ni ufunguo wa maisha,au pesa ndio imebaki kuwa funguo ya kila kitu.
Wasomi wengi ss hivi wanajuta kuwekeza kwenye elimu baada ya kukosa matunda ya walichokiwekeza.
Wazazi wengi ss hv wanajuta kuwekeza katika elimu ya watoto wao baada ya kukosa matunda ya walichokiwekeza .
Kujiajiri ni sawa na kuanza darasa la kwanza au nursery it need trial and error mpaka kutoboa.Hii inaweka wasomi wengi njia panda .
Juzi nilikuwa naangalia TBC alikuja jamaa mmoja mlemavu wa miguu mwenye bachelor ya Accountancy alinisikitisha sana baada ya kupata story yake nakuonyesha majuto yake jinsi alivyopoteza pesa kuwekeza kwenye elimu yake bila kupata return yeyote.
Kiukweli elimu ya shule ni tofauti sana na elimu ya mtaa.Kama ulitumia miaka 20 kupata degree ya chuo unaweza pia kuhitaji miaka 20 mingine kupata elimu ya mtaa kama ni slow learner hii inaleta ugumu kwenye kujiajiri.
Mfumo wa elimu ya chuo ungekuwa combined na elimu ya mtaa elimu yetu ingekuwa na tija sana.
Hivyo tusiwalaulu wanaoshindwa kujiajiri maana wanahitaji muda kupata elimu ya mtaa.
Ila sijasahau zile ajira 8Milion serikali ijitahidi kutekeleza hii ahadi ,vinginevyo itakuwa shida mwisho wa siku.Pia itakipa shida sana chama changu cha CCM mwaka 2025.
Mwisho nimalizie kwa kusema ukiona kwako kunaungua jua kwa mwezio kunateketea ,unajikatia tamaa miaka mitatu bila ajira yupo wa miaka saba bila ajira .
Je bado elimu ni ufunguo wa maisha ,au pesa ndio ibaki kufundishwa na kuubiliwa mashuleni kwamba ndio ufunguo wa maisha.??
Habari wanabodi!

Mada yako ni nzuri Sana ,Ila ingefaa Zaidi kama ungeipeleka jukwaa la elimu au habari na hoja mchanganyiko@active
kumbe vitasa ndio vimebadilishwa na ss tukabaki na funguo za kale ss inabdi tuchonge funguo malay* ili tufungue milango yotendio japo wanabadil vitasa kila kukicha kwaio unaweza kubak na funguo yako mkonon
Elimu ni nambari moja kwa ustawi wa jamii. Bila elimu hakuna maendeleo endelevu ya ulimwengu huu tulionao!Habari wanabodi!
Bado najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu na majibu sipati.
Nahisi wazee wa zamani waliturocha
Leo hii namkumbuka Mr Yebo alishawahi "kuimba wazeee wa zamani mna......."
"Wazee wazamani mli tu............"
Je bado elimu ni ufunguo wa maisha,au pesa ndio imebaki kuwa funguo ya kila kitu.
Wasomi wengi ss hivi wanajuta kuwekeza kwenye elimu baada ya kukosa matunda ya walichokiwekeza.
Wazazi wengi ss hv wanajuta kuwekeza katika elimu ya watoto wao baada ya kukosa matunda ya walichokiwekeza .
Kujiajiri ni sawa na kuanza darasa la kwanza au nursery it need trial and error mpaka kutoboa.Hii inaweka wasomi wengi njia panda .
Juzi nilikuwa naangalia TBC alikuja jamaa mmoja mlemavu wa miguu mwenye bachelor ya Accountancy alinisikitisha sana baada ya kupata story yake nakuonyesha majuto yake jinsi alivyopoteza pesa kuwekeza kwenye elimu yake bila kupata return yeyote.
Kiukweli elimu ya shule ni tofauti sana na elimu ya mtaa.Kama ulitumia miaka 20 kupata degree ya chuo unaweza pia kuhitaji miaka 20 mingine kupata elimu ya mtaa kama ni slow learner hii inaleta ugumu kwenye kujiajiri.
Mfumo wa elimu ya chuo ungekuwa combined na elimu ya mtaa elimu yetu ingekuwa na tija sana.
Hivyo tusiwalaulu wanaoshindwa kujiajiri maana wanahitaji muda kupata elimu ya mtaa.
Ila sijasahau zile ajira 8Milion serikali ijitahidi kutekeleza hii ahadi ,vinginevyo itakuwa shida mwisho wa siku.Pia itakipa shida sana chama changu cha CCM mwaka 2025.
Mwisho nimalizie kwa kusema ukiona kwako kunaungua jua kwa mwezio kunateketea ,unajikatia tamaa miaka mitatu bila ajira yupo wa miaka saba bila ajira .
Je bado elimu ni ufunguo wa maisha ,au pesa ndio ibaki kufundishwa na kuubiliwa mashuleni kwamba ndio ufunguo wa maisha.??
Maisha yamebadili vitasa yanatumia makufuli. Kama ukiendelea kushikilia ufunguo ule ule ukitegemea kuna ulinzi utakuta maisha yalishahamisha godoro, kitanda, neti hadi mashuka hakuna ushahidiHabari wanabodi!