Hivi kwa mlo kama huu wachezaji wetu watatoa wapi nguvu jamani?

Ahahah mkuu mbna huo ubuyu hatukuupata au ww ndo ulimuunganishia.........
hahah nimuunganishe hata nilikuwa najua huo mlango wa hiyo hoteli sijui inaitwa kempsiki sijui Kilimanjaro Hotel, yaani na mie nilimshangaa tu amepenya hadi huko! ni miaka ilee ya 2009/2010 sio siku za karibuni sana
 
Bajeti inaliwa na viongozi wakati wapiganaji wakijilamba vidole
 
Ayaaaa weeee, alafu msimu ujao akisaini yanga mnalalamika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…