Hivi kwa mtaji wa 3 millions siwezi zungusha kwenye migodi hata duka dogo dogo!

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
Niko katika wakati mgumu sana baada ya kununua korosho tani kama 4.5 na kuona hakuna dalili yoyote ya kulipwa sasa wadau nimebakiza kiasi hicho hapo juu na usheee naomba kuelekezwa juu ya wap nitaweza kuwekeza na nkahudumia familia yangu vizuri kwa sasa kilimo nlichokua nakifanya soko lake linakua gumu kutokana na wingi wa matunda sokoni

naomba kuelekezwa
1 wap ulipo/ilipo migodi midogo midogo inayochipukia!

2 au migodi ambayo imeshaendelea na kuna fursa za kibiashara naomba kuwakilisha
 
Sekta ya madini ishakufa labda huna habari.
 
Kupata wachimbaji wadogo wadogo ulizia chunya, kitunda, nzega, ukipata wadau maeneo hayo wanaweza kukuambia wapi shimo kimetema ambapo unaweza kwenda kuweka kambi maana wachimbaji wadogo wadogo wao huama hama kwaiyo ili machimbo yachanganye ni jinsi mashimo yanavyotoa Mali.
 
Tena kipindi cha mvua hiki ndio migodini kuna deal...nenda chunya mbeya,nenda iringa isimani kuna mgodi mpya hauna zaidi ya miaka mi5,nenda
 
Back
Top Bottom