Sekta ya madini ishakufa labda huna habari.Niko katika wakati mgumu sana baada ya kununua korosho tani kama 4.5 na kuona hakuna dalili yoyote ya kulipwa sasa wadau nimebakiza kiasi hicho hapo juu na usheee naomba kuelekezwa juu ya wap nitaweza kuwekeza na nkahudumia familia yangu vizuri kwa sasa kilimo nlichokua nakifanya soko lake linakua gumu kutokana na wingi wa matunda sokoni
naomba kuelekezwa
1 wap ulipo/ilipo migodi midogo midogo inayochipukia!
2 au migodi ambayo imeshaendelea na kuna fursa za kibiashara naomba kuwakilisha
kasema migodi midogo midogo yani wachimba wadogo wadogoSekta ya madini ishakufa labda huna habari.