Hivi kwa Nini asijitokeze mtu wa kutu organize wanaJF Tuwe na hisa zetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mambo vipi?Jamiiforum ndo mahali great thinkers wapo wataalamu wote tupo huku na si tunaipenda Sana hi brand jf ndo inayotukuza tunaiamini Sasa kwanini tusiwe tuna weka pesa tunachangia hata buku tu kila week kila mtu na account yake kisha mexence Mello anaenda kutupelekea hela zetu huko soko la hisa zikawekezwe kwenye biashara mbalimbali au miradi ambayo sisi wenyewe members tutaipanga ili tukijaga kuzitoa siku moja ziwe nyingi tugawane unaeza kushangaa uliwekeza milioni moja ukaja kupata hata million nne..huu mchezo wa kwetu unakuwa sio upatu yaani tunawekeza hata kwenye likiwanda smart mbona idea zipo nyingi Sana watu huku Wana vichwa vizima nawaamini wakiamua kutuwakilisha vizuri mbona fresh.Ni wazo langu lakini inabidi mlikubali,au mlipinge au mliboreshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huku hatujuani na jitiada za kuhakikisha tusijuane zinazidi kuwa kali kila kukicha. Utatushawishi vipi tujitokeze kutekeleza hili kwa kuaminiana?
 
Mkuu huku hatujuani na jitiada za kuhakikisha tusijuane zinazidi kuwa kali kila kukicha. Utatushawishi vipi tujitokeze kutekeleza hili kwa kuaminiana?
SI mifumo tu inaundwa kwani makampuni ya bet yanawajua wanachama wake wanaobet?SI Ni akaunti ya simu tu ndo inayosoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…