yapo ila kwa vijijini sio mjini.
Kwenu huko hata sina la kuongea!mura mupenzi wako kama humupigi humupendi mura....kure kwetu bunda tuna wachapaga sana....ukimchapa vizuri anaenda kuwa hadisia wenzie mume wake ana mupenda mura....hiro rimura kwenye huo wimbo nimerifagiria sana
Kwenu huko hata sina la kuongea!
Barungi unasemaje???.................... tafadhali weka neno "nadhani vijijini" kwenye post yakoyapo ila kwa vijijini sio mjini.
Leo naona uko kisalamu zaidi,,hahahahaHabari zenyu wataalam wa mapenzi ya mujini na vijijini......
wakuraya wanawacharanga masikio.....Upo?Mashairi haya nimeyasikia kwenye wimbo mmoja hivi.......sijui ni nani kaimba!!
Sikujua kama mwingine unamhudumia,
ningejua moyoni mwangu nisingekupokea,
ukirudi umelewa na dharau huniletea,
nguo zangu hunichania, bila kosa me kujua.
Nimechoshwa na vituko na vipigo,
majeraha kila siku, mpenzi wako........Hivi kwa nini...........hunithamini......
Hivi ni kweli unaweza kumfanyia mpenzi wako haya yanayosemwa kwenye huu wimbo au mtunzi kaongeza chumvi??
Hao kaka walishashindikana, mtu hadi ang'olewe jicho ndio ajue anapendwa!!!!
Mashairi haya nimeyasikia kwenye wimbo mmoja hivi.......sijui ni nani kaimba!!
Sikujua kama mwingine unamhudumia,
ningejua moyoni mwangu nisingekupokea,
ukirudi umelewa na dharau huniletea,
nguo zangu hunichania, bila kosa me kujua.
Nimechoshwa na vituko na vipigo,
majeraha kila siku, mpenzi wako........Hivi kwa nini...........hunithamini......
Hivi ni kweli unaweza kumfanyia mpenzi wako haya yanayosemwa kwenye huu wimbo au mtunzi kaongeza chumvi??