Hivi kwa nini huwa ni rahisi kwa Yanga kuwashawishi baadhi ya wachezaji wa timu pinzani waharibu na kucheza chini ya kiwango?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Jambo hili linanifikirisha sana hasa nikifikiria wale wanaokula 5 halafu inawasajili kama wachezaji bora huku wanapotoka wanaoneka hawafai.

Kitendo hiki cha nyuma mwiko sio kigeni kwenye ligi yetu.

Unaweza kuta mchezaji akakubali kulipwa mshahara mdogo sana utopolo ila anaifia timu wakati kuna wachezaji wa timu pinzani wakilipwa vizuri zaidi ila bado wanashawishiwa kucheza chini ya kiwango mradi tu nyuma mwiko abaki na misifa.

Kama mlidhani hawa jamaa ni wa kuchekea basi shitukeni.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kubinywa mbupu kidogo tu mshaanza kutoa milio,,yanga kabonyeza kitufe kidogo tu mnatawanyika Kila mtu na njia yake sasa akifungulia koki kwa 100% si ndio mtachanganyikiwa kabisa
 
Bado hamjasema, na hapa wachambuzi wananoa midomo yao ili waongee vzr kesho
 
Mbeleko fc maji ya shingo, derby itaamua bingwa, mayowe yameanza kolokoloni!
vitimu vidogo vikikaza simba inapigika tu hamna kitu mle ili mradi refa awe mwinyimkuu tu, jana kachezesha haki bin haki Azam vs KMC hadi nikafurahi baada ya kutoka kwenye utumbo wa refa wa kolowizard
 
Back
Top Bottom