Wakuu habari zenu...
Nilikuwa MMU kule nasoma post ya jamaa kupewa utumbo na hawara yake. Baada ya kusoma comments za watu nikawa najiuliza swali ambalo mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kila nikikutana na comments zenye mrengo huo...
Hivi kwa nini mapenzi kinyume na maumbile imeitwa tigo? Nini chanzo cha jina hili kunasibishwa na ufedhuli huo? Why tigo na sio mitando mingine?
Msaada please