Hivi kwa nini Kenya hawana Waziri Mkuu

Hivi kwa nini Kenya hawana Waziri Mkuu

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kwa kawaida Rais anapopatikana na kuapishwa huwa kisheria anatangaza Baraza la Mawaziri,

Lakini nchini Kenya mpaka sasa sijawahi kusikia jina au uteuzi wa Waziri Mkuu. Je, mawaziri wengine waloteuliwa wanasimamiwa na nani?
 
Kwa kawaida rais anapopatikana na kuapishwa huwa kisheria anatangaza baraza la mawaziri,

Lakini nchini kenya mpaka sasa sijawahi kusikia jina au uteuzi wa waziri mkuu je mawaziri wengine waloteuliwa wanasimamiwa na nani
Mi sijui labda kwenye katiba yao hakuna nafasi ya waziri mkuu
 
kila kitu (majukumu) kimeainishwa kwenye katiba.

katiba ndio usukani unaoelekeza nani atafanya nini kwa nani na kwa mipaka gani na akienda kinyume atafanywa nini na nani.

NB: pamoja na hilo, katiba yao ni miongoni mwa katiba BORA duniani. maajabu hayo
 
Acha zako wewe katiba bora ambayo kila siku wanataka wanataka kuibadilisha?
kila kitu (majukumu) kimeainishwa kwenye katiba.

katiba ndio usukani unaoelekeza nani atafanya nini kwa nani na kwa mipaka gani na akienda kinyume atafanywa nini na nani.

NOTABENE: pamoja na hilo, katiba yao ni miongoni mwa katiba BORA duniani. maajabu hayo
Katiba bora ambayo kila siku inaongoza gape kati ya masikin na tajiri?
 
Soma articles zenye tija kuhusu mambo hayo mkuu. Acha ubishi kwa kuegemea hoja za kuokoteza vijiwe vya wauza kahawa na magroup ya WhatsApp.

JF tumezoea kupingana kwa hoja, la sivyo tukuite comedian.
 
Alikuwepo zaman alikuwa anaitwa raila odinga lakin kwa sasa hawana Ndo hiyo BBI ambayo yameiga tz wanataka kuweka nafasi ya waziri mkuu na KUB
Waziri mkuu wa kwanza wa Kenya alikuwa Mzee Jomo Kenyatta mwaka wa 1963-64. Sasa sielewi tunaiga vipi vitu ambavyo tulikuwa navyo hapo awali.
 
kila kitu (majukumu) kimeainishwa kwenye katiba.

katiba ndio usukani unaoelekeza nani atafanya nini kwa nani na kwa mipaka gani na akienda kinyume atafanywa nini na nani.

NB: pamoja na hilo, katiba yao ni miongoni mwa katiba BORA duniani. maajabu hayo
Lakini mawaziri wengine wapo sasa baraza lao linaongozwaje
 
Kwahiyo ikipitishwa uhuru ateuwa au hadi amalize ungwe yake alafu rais ajae ndio atateuwa au atapigiwa kura
Alikuwepo zaman alikuwa anaitwa raila odinga lakin kwa sasa hawana

Ndo hiyo BBI ambayo yameiga tz wanataka kuweka nafasi ya waziri mkuu na KUB
 
Waziri mkuu wa kwanza wa Kenya alikuwa Mzee Jomo Kenyatta mwaka wa 1963-64. Sasa sielewi tunaiga vipi vitu ambavyo tulikuwa navyo hapo awali.
Sawa, lkn kwa sasa na katiba yenu ya juzi juzi si alikuwa hayupo.
So you didnt want it, then you thought twice you wanted it back.
Mbona kama unapata shida design.
 
Sawa, lkn kwa sasa na katiba yenu ya juzi juzi si alikuwa hayupo. So you didnt want it, then you thought twice you wanted it back.Mbona kama unapata shida design.
Waziri mkuu wa kwanza wa Kenya alikuwa Mzee Jomo Kenyatta mwaka wa 1963-64. Sasa sielewi tunaiga vipi vitu ambavyo tulikuwa navyo hapo awali.
Fact.
Alikuwepo zaman alikuwa anaitwa raila odinga lakin kwa sasa hawana Ndo hiyo BBI ambayo yameiga tz wanataka kuweka nafasi ya waziri mkuu na KUB
Comment niliyoinukuu. Sioni chochote hapo ambacho kinahitaji maelezo ya ziada.
 
Kwa kawaida Rais anapopatikana na kuapishwa huwa kisheria anatangaza Baraza la Mawaziri lakini Kenya mpaka sasa sijawahi kusikia jina au uteuzi wa Waziri mkuu. Je, mawaziri wengine wanaoteuliwa wanasimamiwa na
nani?
The president and in his absence his deputy chairs cabinet meetings.However through an executive order the President can appoint one as is the case right now.Fred Matiang'i is CS internal security but also chairs national development coordination implementation and communication cabinet committee composed of all CSes.
 
Back
Top Bottom