Hivi kwa nini kibongobongo ukiwa huna shobo na mtu wala kufuatilia mambo ya kijinga unaonekana unaringa na kujisikia?

Hivi kwa nini kibongobongo ukiwa huna shobo na mtu wala kufuatilia mambo ya kijinga unaonekana unaringa na kujisikia?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kuna kitu huwa kinanistaajabisha kidogo hapa bongoland hasa kuhusu jamii ya watu wanaotuzunguka.

Yani mtu ukiwa huna shobo zile za kindezi kwa watu au kushabikia mambo ya kipuuzi puuzi basi jamii inaanza kukuona kama mtu unaeringa na kujisikia.hivi kwani ni lazima watanzania wote tufuatilie simba na yanga? kwa mfano mtu anakuuliza hapa bongo unashabikia timu gani ya mpira unamjibu vizuri tu kuwa siko interested na soka la bongo instead huwa nashabikia Manchester United au Real Madrid basi anaanza kukuona eti unaringa.

Mwingine anakuuliza eti Kati ya Diamond na Ali kiba unamkubali nani unamjibu sifuatilii kivile mziki wao badala yake me nafuatilia mziki wa marekani huko nae atakuona unajisikia.

kuna mwingine juzi kati kaniomba lifti kwenye subaru yangu ,so njia nzima me nilikua kimya, yeye akawa kama anataka kunipeleleza kunijua habari zangu me nikawa namjibu short tu huku muda mwingi naongea na simu,kaenda kutangaza mtaani eti me blazamen naringa sana na Kigali changu cha mkopo.

Dah, hivi kwa nini watanzania ukiwa against nao tu basi unaonekana unaringa na kujisikia?
 
Kwa sababu wajinga n wale wanaoonekana Wanaongea sana na kujua mengi.
 
Ila we jamaa ingawa pia sikujui wala hunijui.
Unaonekana ni mtu wa vijisifa flani flani hivi.
 
Heading ipo sawa ila mfano wa kusema kuipenda Manchester united over Simba na Yanga ilhali Manchester na London unazionea BBC
Sounds creepy jamaa yangu
 
Back
Top Bottom