Hivi Kwa nini kiki nyingi za bashite huwa hazina matokeo?

Hivi Kwa nini kiki nyingi za bashite huwa hazina matokeo?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Sijui kama ni mimi tu naona hivyo ila naona KIKI nying za DAB huwa zinaisha kama hangover yaani huoni kabisa impact ya maana.
Hivi ni kwa nini?
 
Dizim kuna changamoto nyingi zaidi ya hiyo alotaka kuikomalia,kwa mfano-
1.maji safi yanapatikana kote?
2.mbona kitunda huku umeme unakatwa asubuhi sanaaa na kurejeshwa saa moha usiku,jumanne,jumatano na ijumaa hatuambiwi tatizo,
3,madawa kwenye zahanati na vituo vya afya yanatosheleza?
4.2019,watoto watakaoenda kidato cha kwanza madarasa yanatosheleza?
Yeye anahangaika na watu walioamua kufanya starehe zao?
 
Hajawahi kutumi akili huyo jamaa ni mzee wa kukurupuka ndio maana huja na mambo yake kila uchwao ila huishia kufeli.
 
Kama madawa ya kulevya au?
Acha chuki wewe
Haitakisaidia
 
Sijui kama ni mimi tu naona hivyo ila naona KIKI nying za DAB huwa zinaisha kama hangover yaani huoni kabisa impact ya maana.
Hivi ni kwa nini?
Hata kumpa ujauzito mkewe alishindwa hadi kwa msaada wa China
 
Back
Top Bottom